Watanzania tushikamane tukemee haya mambo,hivi inawezekenaje watu wazima wana kaa wanakubaliana kujenga barabara ya kilometer 1 kwa ghalama ya billion 5.
Hivi kweli tutafika kwa hali hii,madawa yatapatikana hospital, na huduma zingine zitawezekana gharama za maisha zimepanda,petrol, mafuta ya...