Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three.

Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka?

Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatujui? Mbona kama hawana akili timamu?
 
Ukitangaza amani utapata matunda ya amani na hapa tegemea kubembelezwa na kulindwa.

Ukitangaza vurugu tegemea kupata matunda ya vurugu, kwa sasa yeyote anayeonekana kupinda mdomo huwa polis wanaamini katumwa hata kama ni panya mdogo.

Kati ya hayo mawili chagua kapu la wewe kuishi na acha kulalamika!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Umachofanya hakiruhusiwi. Unaharibu mijadala.. Sababu kila sehemu unapost hivi.. Jitafakari
 
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three.

Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka?

Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatujui? Mbona kama hawana akili timamu?
View attachment 3491568
Duhh wamekosea nini?
 
Polisi wa tz ni wangese sana
petrololi inawahusu sana mnakaa kota na mabata bado mnazingua
 
Police wa Tanzania wanafanya kazi kwa mazoea wanajua hamna chombo kingine kinaweza kuwachunguza na kuwachukulia sheria inatakiwa kuwepo na chombo huru kwa ajili ya kuwabana police na kuwafungulia mashitaka kama kenya
 
Mbona lafudhi yao ni ya kule mpakani kwa baba…
Au na wao walijumuishwa katika zile fujo….?
 
Back
Top Bottom