Girland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2016 Posts 2,714 Reaction score 4,738 Oct 23, 2025 #41 Polisi Hana ruhusa ya kupiga mtu Kwa mujibu wa PGO ,kiufupi mtuhumiwa anapaswa kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria haraka iwezekanavyo.
Polisi Hana ruhusa ya kupiga mtu Kwa mujibu wa PGO ,kiufupi mtuhumiwa anapaswa kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria haraka iwezekanavyo.
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,863 Reaction score 6,041 Oct 23, 2025 #42 Angekua wa kiume na sio form three ingekua ni sawa?