Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara.
Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ?
Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza leo bali ni miaka mingi, na yanaendelea hadi leo.
Tuna kumbukumbu mbaya ya siku za nyuma, jeshi la...
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated
Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
Wakuu..
Najaribu kuwaza kwa sauti hapa.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa.
Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa.
Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari...
Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD).
Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa?
Nini maoni yenu? Karibuni
Save this post!!!!!!
Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni.
Save the post!!!! Kinachosubiliwa ni muda tu ufike mheshimiwa tu save the date!!!
Wayahudi 11 wanaripotiwa kufariki dunia katika shambulio lililofanyika katika milima ya Golan.
Hezbollah wamekiri kuhusika katika shambulio hilo.Wayahudi wameapa kulipa kisasi! Allah vs Yahweh!!! Wafia dini za kiarabu na kiyahudi kazi kwenu! Mkumbuke wanawake na watoto wanateseka!
Eleven dead...
Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
Salaam,Shalom!!
Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba.
Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.
Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini...
KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote
Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati?
Soma:
- Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
Kwema Waheshimiwa!
Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo.
Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.