Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga.
Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua...
Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi
Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia
Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake
Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake
Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye.
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania.
Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
wanayanga kitu muhimu cha kutegemea kutoka kwa kocha mpya mu-algentina ni ubora wa soka usishuke ila uzidi kupanda kiasi cha kuzionea timu nje ndani na za kimataifa.
Ninachowataka Wanayanga wenzangu na uongozi ni kukubali ya kuwa kila kocha anakuja na mfumo wake wa ufundishaji ambao kwa...
GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai.
Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023.
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa...
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote.
Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora.
Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika.
Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
Kuna maswali wanajiuliza wananchi kuhusiana na kucharuka kwa wabuge wa Bunge la CCM kwenye kikao kinachoendelea huko Dodoma.
Napenda kuwakumbusha kwamba tusiwe wasahaulifu sana tukidhani wanaongea kwa maslahi ya nchi. Tujikite kwenye msingi wa hoja zao hasa kuchunguza vyanzo vya hizo hasira...
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli...
Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover
yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale.
Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na...
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.
Je, na...
Hapo vip!!
Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika.
Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna...
Naam! Tutasikia mengi. Tutaona mengi.
Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena!
Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k.
Haya tutegemee mengi Mengine.
Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.