tutegemee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  2. T

    Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  3. Hii trade ya Doncic na AD tutegemee nini NBA League msimu huu

    Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO
  4. kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
  5. Je tutegemee club Bilicanas kurudi?

    Mwamba alisema akishindwa uchaguzi atarudi kukomaa na biashara zake. Kwa unyenyekevu kabisa naomba uturudishie Bilicanas, kwa niaba ya walevi wote.
  6. Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  7. Maxime na minziro ni yanga lia lia tutegemee magoli ya mchongo na mechi mbovu kabisa

    Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
  8. Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  9. Napendekeza Jeshi la Polisi kusukwa upya kuondoa tuhuma za mauaji zinazolikabili mara kwa mara

    Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza leo bali ni miaka mingi, na yanaendelea hadi leo. Tuna kumbukumbu mbaya ya siku za nyuma, jeshi la...
  10. Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  11. LGE2024 Kama uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 CCM ilipata ushindi 99.9%, Je tutegemee ushindi wa 100% 2024?

    Wakuu.. Najaribu kuwaza kwa sauti hapa. Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa. Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa. Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari...
  12. Wawekezaji, je tutegemee sarafu ya EURO kuporomoka?

    Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu? Karibuni
  13. T

    Pre GE2025 Tutegemee muda si mrefu mzee wa victoria akahama chama kisa vipande vya thumni

    Save this post!!!!!! Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni. Save the post!!!! Kinachosubiliwa ni muda tu ufike mheshimiwa tu save the date!!!
  14. Myahudi kachapika huko! Tutegemee nini??

    Wayahudi 11 wanaripotiwa kufariki dunia katika shambulio lililofanyika katika milima ya Golan. Hezbollah wamekiri kuhusika katika shambulio hilo.Wayahudi wameapa kulipa kisasi! Allah vs Yahweh!!! Wafia dini za kiarabu na kiyahudi kazi kwenu! Mkumbuke wanawake na watoto wanateseka! Eleven dead...
  15. M

    Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  16. R

    Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  17. G

    Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

    Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target. Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini...
  18. R

    Bi. Christine Mwakatobe alifeli kuendesha KADCO, Je, tutegemee mafanikio AICC? Au maisha ni bahati?

    KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati? Soma: - Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
  19. P

    Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  20. Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

    Kwema Waheshimiwa! Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo. Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…