tutegemee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, uongozi wa Roman Catholic ni 'ndumilakuwili' au huyu Papa tumepandikiziwa? Tutegemee nini?

    Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga. Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua...
  2. P

    Leo tutegemee saa 24 bila umeme Dar es Salaam

    Hii itakuwa ni historia. Tena bila taarifa kutoka TANESCO.
  3. Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  4. K

    Kwa Sasa tutegemee wawekezaji kumiminika Tanzania. Wawekezaji wanawekeza kwenye amani, utulivu na usalama. Hongera Rais Samia

    Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye. Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
  5. Kwa hali hii kama ni kweli tutegemee zaidi kupanda kwa diesel na petroli

  6. Je, mwanzo wa Ruto kutawala peke yake ndiyo umemalizika tutegemee serikali ya mseto?

    Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
  7. Tutegemee nini toka kwa Kocha Muargentina?

    wanayanga kitu muhimu cha kutegemea kutoka kwa kocha mpya mu-algentina ni ubora wa soka usishuke ila uzidi kupanda kiasi cha kuzionea timu nje ndani na za kimataifa. Ninachowataka Wanayanga wenzangu na uongozi ni kukubali ya kuwa kila kocha anakuja na mfumo wake wa ufundishaji ambao kwa...
  8. Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  9. Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa...
  10. G

    Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  11. Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
  12. Kuelekea 2025 tutegemee drama za kutosha

    Kuna maswali wanajiuliza wananchi kuhusiana na kucharuka kwa wabuge wa Bunge la CCM kwenye kikao kinachoendelea huko Dodoma. Napenda kuwakumbusha kwamba tusiwe wasahaulifu sana tukidhani wanaongea kwa maslahi ya nchi. Tujikite kwenye msingi wa hoja zao hasa kuchunguza vyanzo vya hizo hasira...
  13. L

    Rais Samia ni kazi juu ya kazi, sasa Bei ya Mafuta inaendelea kushuka, Watanzania tutegemee neema ya kupungua kwa mfumuko wa bei

    Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli...
  14. T

    SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  15. Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

    Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale. Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na...
  16. Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?

    Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma. Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko. Je, na...
  17. Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

    Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
  18. M

    Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

    Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
  19. Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  20. Tutegemee vikatuni vingi zaidi kututoa tusijadili bei ya mafuta

    Naam! Tutasikia mengi. Tutaona mengi. Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena! Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k. Haya tutegemee mengi Mengine. Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…