Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).
Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara...