GE2025 TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
1755010228504.png

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).

Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara, kupandisha madaraja ya watumishi wa umma na kuboresha mazingira ya kazi nchini.

1755010278560.png

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Bw. Tumaini Nyamhokya, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025.​

Soma pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025

Viongozi hao akiwemo Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya wamemkabidhi Rais Samia tuzo maalumu ya shukurani kwa kutambua mchango wake katika kuboresha masilahi ya wafanyakazi nchini.

Chanzo: Mwananchi official
 
Tuzo utoka kwa wezi,mafisadi,majizi ili kumfumba macho na ni baada ya kumjua kua anapenda kusifiwa pasipo na cha maana chake alicho fanya kwa watanganyika. Masiki uwezo wao ni Dua,maombi na kuku Kama TUZO kwa watawala ila yy maisha hawezi kukubali ilo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nyumbu mtapasuka msamba mwaka huu bila ya kymuiga tembo maana Kila uchao mama anawakeraaaa tu...... dadadadeki
 
Hiyo ni tuzo ya kinafiki na ya kujipendekeza. Kimsingi haina uhalisia.
 
Tunapolekea bila katiba mpya hatutoboi

Rais amekuwa kama mungu yaani yupo juu ya kila kitu!
 
TUCTA imekuwa ya watu wajinga?

Wabunge ambao wanapokea zaidi ya 13M kwa mwezi hawana huo ujinga

Mwenzangu na mimi mshahara ni laki 7 mpaka milioni unajifanya kutoa na tuzo tena kwenye haki iliyocheleweshwa na ya kunyongwa nyongwa?

Tunahasara kama nchi
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).

Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara, kupandisha madaraja ya watumishi wa umma na kuboresha mazingira ya kazi nchini.

View attachment 3439251
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Bw. Tumaini Nyamhokya, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025.​

Soma pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025

Viongozi hao akiwemo Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya wamemkabidhi Rais Samia tuzo maalumu ya shukurani kwa kutambua mchango wake katika kuboresha masilahi ya wafanyakazi nchini.

Chanzo: Mwananchi official
Mama anastahili
 
Tuzo utoka kwa wezi,mafisadi,majizi ili kumfumba macho na ni baada ya kumjua kua anapenda kusifiwa pasipo na cha maana chake alicho fanya kwa watanganyika. Masiki uwezo wao ni Dua,maombi na kuku Kama TUZO kwa watawala ila yy maisha hawezi kukubali ilo.
Kazi ni kipimo cha utu
Kwamba Watumishi wa Umma wako hivyo ulivyoondika?

Bawacha ya Chadomo wakati mnampa Tuzo mlikuwa ni majizi,mafisadi eg all?
 
Anastahili.
Imagine within 4 yrs of her regime tumepanda vyeo mara mbili, mishahara imepanda mara 2. Yaani 2+2 = 4 .
Ndani ya miaka 4 mishahara imepanda mara 4 .
Yule mpuuzi aoze salama.
Niliwaambia atakufa soon mkabisha kwakuwa ni mungu wenu. Macho yenu ya rohoni yana giza, mtu mwovu kama Jiwe mnamwona bonge la mtu eti.
Mpaka 2030 mtumishi wa umma ambaye hatakuwa na makazi bora huyo either karogwa na wanafamilia kwasababu ya wivu au tahira plus ulevi mbwa
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).

Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara, kupandisha madaraja ya watumishi wa umma na kuboresha mazingira ya kazi nchini.

View attachment 3439251
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Bw. Tumaini Nyamhokya, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025.​

Soma pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025

Viongozi hao akiwemo Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya wamemkabidhi Rais Samia tuzo maalumu ya shukurani kwa kutambua mchango wake katika kuboresha masilahi ya wafanyakazi nchini.

Chanzo: Mwananchi official
IMG-20250613-WA0001.jpg
 
Rais kafanya kazi nzuri kwa wafanyakazi lakini tukta wanafanya wrong timing ya kumtunuku Rais
 
Anastahili.
Imagine within 4 yrs of her regime tumepanda vyeo mara mbili, mishahara imepanda mara 2. Yaani 2+2 = 4 .
Ndani ya miaka 4 mishahara imepanda mara 4 .
Yule mpuuzi aoze salama.
Niliwaambia atakufa soon mkabisha kwakuwa ni mungu wenu. Macho yenu ya rohoni yana giza, mtu mwovu kama Jiwe mnamwona bonge la mtu eti.
Mpaka 2030 mtumishi wa umma ambaye hatakuwa na makazi bora huyo either karogwa na wanafamilia kwasababu ya wivu au tahira plus ulevi mbwa
Nimecheka kama Mazuri eti yule mpuuzi 😆😆

On top of that
1.Amefuta wizi wa bidi ya mikopo
2.Aliongeza posho za perdiem na overtime
3.Ameongeza salary Kwa wastaafu
4.Aliwalipa waliofukuzwa na yule mtu wenu kwenye vyeti fake wakati wengi walikuwa la 7
5.Ameajiri maelfu wa wafanyakazi
6.Amerkebisha kikokotoo japo Bado tunapotaka
7.Amenunua Vitendea Kazi sana Kwa watumishi wa Umma.

Mama ni 5 tena Hadi achoke.
 
Back
Top Bottom