Msemaji mkuu wa Serikali Gerson amesema Tuzo ya heshima ya Rais ni Tuzo ya watanzania wote kwa jumla na si yake peke yake.
Soma Pia: Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka
Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutua Tanzania...