Msigwa: Tuzo ya CAF aliyopewa Rais Samia ni tuzo ya watanzania wote

Msigwa: Tuzo ya CAF aliyopewa Rais Samia ni tuzo ya watanzania wote

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson amesema Tuzo ya heshima ya Rais ni Tuzo ya watanzania wote kwa jumla na si yake peke yake.

Soma Pia: Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka

Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutua Tanzania leo Novemba 21 akitokea nchini Morocco kwenye (CAF AWARDS) zilizofanyika Novemba 19.

 
mtu utukane uonekane umelewewa vibaya 🤬🤬🤬
 
hatuitaki.
pumbavu
Mmhhh hii ID Kuna mtu calog in na kuanza kukomenti hivyo.

Tunaposema Samia ni kilaza mnapaswa kuelewa ,yule mtu hafai,ni mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kupewa ushirikiano na mtanganyika yeyote mwenye akili timamu
 
Hatusahau, hatusamehi. We don't forget, we don't forgive. Sisi sio wajinga !
 
Back
Top Bottom