Waandaaji wa Tuzo kubwa Duniani Tuzo za Grammy wametangaza orodha ya wasanii watakaowania kwenye tuzo hizo zilizopangwa kutolewa February 2025.
Staa kutoka Tanzania diamondplatnumz bahati imekuwa mbaya kwake kwani hayupo kwenye kipengele cha Best African Music ambacho aliwasilisha wimbo wake...