tuzo za grammy

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na manpower ya kutosha Recording Academy wabongo tuzo za Grammy tutaendelea kuzisikia kwenye bomba

    Wakuu, Naona Tayla kashinda huko kwenye Grammy kwa mara ya pili kwenye kipengele cha "Best African music performance" Najua watu wengi wataanza kusema Watanzania tuna mziki mbovu ndo maana hatuwezi kushinda Grammy lakini ukweli ni kwamba HIYO SIO SABABU au hiyo sababu pengine ina ukweli...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tyla wa Afrika Kusini amechukua tena tuzo ya Grammy

    Wakuu, Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, amewashinda Davido, Burna Boy, Ayra Starr na Eddy Kenzo na kushinda tuzo ya Best African Music Performance katika Tuzo za GRAMMY za 68. Wimbo wa Tyla, “Push To Start”, ulikuwa umeingia kwenye kipengele hicho sambamba na “Love” wa Burna Boy, “With You” wa...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Nomination za Grammy 2025 zimetoka. Wasanii wa Kibongo wameangukia tena pua. Au nao HAWAFANYI kazi?

    Kwanza niseme tu leo lazima nifungue champagne Nilikuwa naangalia nomination list ya Grammy kwa mwaka huu ambayo imetoka muda mfupi uliopita Kuna kile kile kipengele cha Best African Music Performance ambacho wasanii wa Afrika huwa wanatajwa Mwaka huu katajwa: Burna Boy, Davido, Tayla, Ayra...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vijana Siku Hizi Wako Inspired na Tuzo za GRAMMY, Zamani Tuzo ya NOBEL ndio ilikuwa Mpango Mzima Ngoja Nikusanue

    Tuzo za Nobel ni miongoni mwa heshima kubwa zaidi duniani katika kutambua mchango wa kipekee wa wanadamu katika nyanja za sayansi, fasihi, na amani. Zimekuwa dira ya juhudi za ubinadamu kwa zaidi ya karne moja, zikihimiza ubunifu, utafiti wa kina, na kujitolea kwa ustawI wa dunia. Tuzo hizi...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

    Kendrick Lamar amefanya yake kwenye tuzo za Grammy. Ngoma yake ya Not Like Us imezoa tuzo za kutosha. Drake na wafuasi wake wana wakati mgumu sana.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasanii wanaowania tuzo za Grammy 2025

    Waandaaji wa Tuzo kubwa Duniani Tuzo za Grammy wametangaza orodha ya wasanii watakaowania kwenye tuzo hizo zilizopangwa kutolewa February 2025. Staa kutoka Tanzania diamondplatnumz bahati imekuwa mbaya kwake kwani hayupo kwenye kipengele cha Best African Music ambacho aliwasilisha wimbo wake...
Back
Top Bottom