Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora kwenye huduma na bidhaa.
Ndugu Baraka Mbajije (Afisa udhibiti ubora - TBS) amesema lengo la Tuzo hizi ni kuhakikisha kuwa mifumo ya bidhaa na huduma...