Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mshambuliaji Steven Mukwala wa Simba ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mei Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kung’ara kwenye mechi nne kwa kufunga mabao matatu na kuchangia moja, huku kocha wake Fadlu Davids akichaguliwa Kocha Bora kwa kuiongoza Simba kushinda mechi zote tano za mwezi huo.
Ashraf Omar wa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ametajwa Meneja Bora wa Uwanja, na katika Ligi ya NBC Championship, Frank Rutha wa African Sports amekuwa Mchezaji Bora, huku Malale Hamsini wa Mbeya City akitwaa tuzo ya Kocha Bora baada ya kuipandisha timu yake Ligi Kuu.