tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Dhuluma kubwa katika Tuzo za TFF, nani kutoroga?

    Hii nchi ngumu sana kubadilika, hata aje nani. Tuzo ya Mchezaji Bora kupewa John Bocco ni dhulma kwa Chota Chama na wapenda soka. Tuzo ya Mchezaji Bora wa FA kupewa Feisal ni dhulma kwa Konde Boy Luiz na wapenda soka wote. Tuzo ya Goli bora kupewa yule mchezaji (simjui jina lake) ni dhulma...
  2. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC, Haji Manara angeshinda tuzo mngeanzisha 'threads' nyingi hivi kuhoji na kumchafua Bongo Zozo?

    Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara. Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa...
  3. Miss Zomboko

    Navalny atunukiwa tuzo ya juu ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya

    Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za binadamu. Katika ishara ya wazi ya ukosoaji kwa Ikulu ya Kremlin, viongozi wa bunge la Umoja wa...
  4. GENTAMYCINE

    Baada ya kuhamia Yanga SC na kuidhalilisha Simba SC, leo Haji Manara akishinda tuzo ya msemaji bora wa Simba SC ataikataa?

    Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC. Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu...
  5. C

    Nugaz anafanyiwa fitna hadi kwenye tuzo

    Juma kahtib a.k.a Nugaz alifanyiwa fitna na msukule hadi akapoteza kazi pale utopoloni lakini cha kushangaza majina ya wahamasishaji bora kwenye tuzo za TFF yametoka lakini Jina la Nugaz halipo kwenye list. Unless ile data ya kwamba mwaka jana utopwenga ndiyo waliongoza kwa kuingiz mashabiki...
  6. TODAYS

    Abdurazak Gurnah Mshindi wa Tuzo ya Nobel afunguka, alipokuwa akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein

    MAJADILIANO mengi kuhusu tuzo aliyopata Mzanzibari aishie majuu Prof. Abdurazak yamejitokeza kwa wingi kwenye mabalaza ya mitandao ya kijamii ikiwepo la huyo jamaa si mtanzania bali Mzanzibari na watanganyika hawapaswi kumpa pongezi ili hali hizi ni nchi moja. Mapema leo Rais wa Zanzibar na...
  7. beth

    Zambia: Mwanamuziki Slapdee ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala

    Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front. Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
  8. Greatest Of All Time

    Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  9. K

    Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
  10. J

    Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

    Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah Source: Al jazeera Mungu ni mwema wakati wote ===== Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature) Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha...
  11. F

    Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

    Tuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo kwa Wanafizikia watatu kwa mpigo. Swali: Katika safu ya marais 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  12. T

    USTADH MGANGA ATABIRI RAIS KUPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA

    Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
  13. MK254

    Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
  14. J

    Waziri Faustine Ndugulile atunukiwa Tuzo ya umahiri na Wizara ya Afya

    Aliyekuwa naibu Waziri wa afya katika Serikali ya awamu ya 5 na ambaye kwa sasa ni waziri wa Tehama Dr. Ndugulile ametunukiwa Tuzo ya umahiri na kupromoti afya na wizara ya afya. Dr. Ndugulile ndiye aliyetoa tahadhari juu ya kupiga nyungu kienyeji hatua iliyopelekea atumbuliwe. Jana Askofu...
  15. mzeempili

    Je, Rais Samia anaelekea kuipata tuzo ya Mo Ibrahim?

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake. Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana...
  16. kavulata

    Kwanini Ufaransa wampe TUZO Rais wetu Mwinyi?

    Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa? Wazungu hawana cha bure...
  17. Greatest Of All Time

    Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
  18. G

    Tozo na kodi za kizalendo ziende kwenye matumizi na miradi ya Kizalendo

    Heshima kwenu wakuu Kwanza nikiri sisi Kama taifa tunawajibu wa kulipa Kodi kwa ajili ya kujenga taifa letu. Pili, Hakuna mtanzania Mzalendo ambae hapendi kulipa Kodi au Kodi kwa ajili ya ujenzi wa nchi yake Tatu, Bila Shaka yoyote Kila mtanzania amehusika kujenga nchi hii kwa kulipa Kodi...
  19. GENTAMYCINE

    Je, Watanzania 'tulioshadadia' Mitandaoni 'Kumfitinisha' Msanii Diamond Platinumz na Tuzo za BET ambayo ameikosa tuliifikiria Tanzania zaidi?

    1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa? 2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
  20. C

    Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
Back
Top Bottom