tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. BETAwards2023: Burna Boy ashinda tuzo ya Best International Act ya BET, Busta Rhymes apewa ya LifeTime Achievement

    Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles. Beyonce ameshinda 'Viewers Choice', Drake na 21 Savage (Kundi Bora), Future na Tems (Wimbo Bora wa Ushirikiano)...
  2. Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  3. Mohammed Dewji ashinda Tuzo ya Viwanda Afrika, amshukuru Rais Samia

    Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani. Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana, nchini Afrika kusini katika kilele cha tuzo za viongozi wa biashara barani Afrika (All Afrika Business...
  4. Tuzo za TMA zitathaminika pale tu wanasiasa mtakapoacha kuziingilia

    Tuzo za TMA zimejaa aibu kubwa sana, uendeshaji wake unawashangaza hata waanzilishaji wa Tuzo Duniani. Tuzo za sanaa huwa zinadhaminiwa na watu wanaohusika na sanaa tu na sii vinginevyo. Grammy Awards, BET Awards, Oscar Awards hazina mahusiano na Serikali ya Marekani bali support kubwa inatoka...
  5. T

    Halima Mdee anastahili tuzo ya heshima ya uzalendo

    Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini. Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa. Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
  6. Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

    Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job? Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
  7. Karia: Wachezaji ambao hawakuhudhuria usiku wa tuzo wafungiwe mechi tano

    RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao. Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za...
  8. Kamati ya TFF na tuzo zenu wacheni Siasa kwa Football

    Truth should be told, wacheni perepeerepe kwa mpira, stop politicizing football, hams hapo kufurahisha mtu ama viongozi ama fans, sisi mashabiki tuko kushangilia na kuumia, yaani tamu chungu. suala la Mayele vs Ntibasonzika sijui ufungaji bora hakukua na haja ya kuwapatia wote, kwani vigezo vya...
  9. Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  10. Full List: Wanaowania Tuzo ya BET 2023 hawa hapa, Afrika ni wawili tu

    Best International Act Aya Nakamura (France) Ayra Starr (Nigeria) Burna Boy (Nigeria) Central Cee (UK) Ella Mai (UK) K.O (South Africa) L7nnon (Brazil) Stormzy (UK) Tiakola (France) Uncle Waffles (Swaziland) Album of the Year “Anyways, Life’s Great” - GloRilla “Breezy” - Chris Brown...
  11. Ni wachezaji wawili tu wa Simba ndio wana zaidi ya 70% kupata tuzo za msimu huu

    Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu. Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili tu wa simba ndio wanaweza pata Tuzo na ndio wana Asilimia kubwa zaidi ya 70% ya Kupata. Nao Ni 1...
  12. Mtanzania ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust

    Msichana wa Kitanzania, Zamana kutoka kijiji cha Irente Juu, Kata ya Magamba, Wilaya ya Lushoto ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2015 na Mfalme Charles III, wakati huo akiwa bado ni mwana wa Mfalme (Prince of Wales)...
  13. Tuzo za TFF - kiungo bora bila Khalid Aucho kuwepo ni kichekesho

    Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo bora? Ushauri kwa TFF isilazimishe kubalance hizi tuzo ili kuweka usawa, Bali watumie uhalisia wa mambo...
  14. Nimesikitika kuona Beki Djuma Shaban na Zanzibar finest Ibrahim Bacca hawapo kwenye orodha ya tuzo TFF

    Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao. Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia? Kwa...
  15. S

    Aziz Ki Kashinda Tuzo Mchezaji Bora wa Mwezi April

    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
  16. Ikatokea wanagawa tuzo kwa wasanii / watangazaji bora. Ungempendekeza yupi?

    Ungempendekeza msanii yupi wa bongo flaver, hip hop au muziki wa injili? Pia presenter (mtangazaji), mwanamitindo, msimulizi, muigizaji ama mchekeshaji yupi?
  17. J

    Tuzo za Muziki Nchini: Maoni ya Wadau juu ya nini kifanyike ili kuongeza Tija, Mvuto na Kupunguza Malalamiko

    Mnamo Aprili 29 kuamkia April 30 mwaka 2023 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakishirikiana na Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo waliandaa tuzo rasmi kwa ajili ya kuwapongeza wanamuziki wa Tanzania (Tanzania Music Awards). Baadhi ya walifanikiwa kunyakua tuzo hizo kwenye vipengele...
  18. Hata mimi ningekuwa Diamond Platinum nisingekubali kushiriki tuzo za mziki TMA

    Itoshe kusema Diamond Platinum ni Mkubwa sana kwenye mziki wa Afrika, tusimuchukulie poa tu kwa kuwa anatokea Tanzania. TMA mmejitaidi kuandaa tuzo zenu changamoto ipo kwenye namna ya kuaandaa Category ili kuweza kuleta msisimko na hamasa kwa wadau wote wa mziki. Mimi sipendi hizi timu za...
  19. Tuzo za TMA: Dancer Bora wa kike huyu hapa

    Mtoto Malaika mtoto nyigu jamani anafaa au hafai?
  20. L

    Tuzo za Muziki "Tanzania music Award" hazina mvuto kabisa,Diamond Ana haki kuzikataa

    Wakuu, Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa. Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa #nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…