Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4 million). Mawasiliano 0620704530.
NB- Hii ni Bajaj yangu hivyo haina udalali.
Wakuu kwema?
Naomba mwenye kujua anijuze bei za pikipiki aina tofaut tofaut za brand ya TVS na za Brand ya Boxer Kwa DSM au Mwanza.
Natanguliza shukrani.
Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake.
A.
Samsung
Panasonic
Sony
Hitachi
JVC
LG
SANYO
( TCL na HISENSE ? )
B.
TCL
HISENSE
BOSS
STAR X
Mr. UK
HOMETECH
ABORDER
SINGSUNG
ITEL
ZUHNE
Jambo jingine. Je...
Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Mihayo akizungumza kwenye Usiku wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji wa leseni za Maudhui Mtandaoni kwa muda kuanzia...
Ni maoni yangu kuelekea hitimisho la Kampeni leo 28/10/2020.
Lengo kuu ni ili Wananchi wawasikie kwa lugha moja katika kuhitimisha na kesho wafanye maamuzi sahihi.
Naamini leo hakuna pumba au chuya, ni mwendo wa "SERA".
Habarini Wanajamvi.
Naomba Msaada wa Maana ya Specifications ya Maneno haya kwenye Hizi Screen za Kisasa (TVs).
1. Smart
2. Smart uhd 4k
3. Smart Android Uhd 4k
Ahsanteni.Chief-Mkwawa mchango wako utanifaa Mkuu
Habari wakuu nataka ushauri nataka kununua pikipiki binafsi kwa ajili ya bodaboda ipi iko vizuri kati ya boxer 150 na tvs150?
- Kuanzia engine
- Fuels
- Speed
- Rough road na appearance
===
Boxer BM 150
TVS HLX 150
Wadau wa jamii forum nauza pikipiki yangu aina ya TVS star hlx 125..
Napatikana Ukonga Dar es Salaam.
Price Tshs.920,000/= Hakuna udalali Mhusika ni mimi mwenyewe
Call 0652015525
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.