Pamoja na kwamba umewekwa kwenye ile orodha ya "sisimizi' lakini hujakata Tamaa, Umeendelea kuwaelimisha Vijana wa Tanzania kwamba kumbe wao wanaweza kuishi bila kuwa Chawa wala bila kuwa ngazi ya wengine kupandia.
Umefunua uchafu mwingi sana kutoka kwenye mambo mengi mno, hadi ukawekwa...