twende butiama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  2. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Stanbic Bank Tanzania na Vodacom Tanzania Wasaini Ushirikiano wa Miaka Mitatu Kusaidia Msafara wa Baiskeli za Twende Butiama

    Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Phillip Besiimire (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic, Manzi Rwegasira (kulia), na Mwanzilishi wa msafara wa Twende Butiama, Gabriel Landa (kushoto), wakisaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa msafara wa baiskeli wa Twende Butiama...
  3. Vodacom Tanzania

    JamiiForums Tanzania Twende Butiama: Vodacom inakusogezea huduma za afya bure mkoani mwako. Karibu uhudumiwe kuelekea siku ya kumuenzi Mwalimu Nyerere

    Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara wa waendesha Baiskeli kuanzia Septemba 28 na tutafika kikomo Oktoba 14 huko Butiama. Lengo ni...
Back
Top Bottom