Watumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web.
Nimejaribu kutumia Proxy Server (United States) kwenye web imefunguka, nikajaribu tena kwa mtandao wa ISP (Halotel) haifunguki.