twitter

  1. FRANC THE GREAT

    Kagame amtaka Waziri kutoisusia Twitter

    Rais wa Rwanda Paul Kagame mnamo Jumanne alimsihi Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Tito Mboweni asiache kutumia Twitter baada ya Waziri huyo kutishia kuacha kutumia mtandao huo wa kijamii kwa kile alichosema kuwa "mtandao huo umepoteza kusudi lake la asili." Kagame alijibu 'Tweet' ya Mboweni...
Back
Top Bottom