twitter

Twitter () is an American microblogging and social networking service on which users post and interact with messages known as "tweets". Tweets were originally restricted to 140 characters, but on November 7, 2017, this limit was doubled to 280 for all languages except Chinese, Japanese, and Korean. Registered users can post, like, and retweet tweets, but unregistered users can only read them. Users access Twitter through its website interface, through Short Message Service (SMS) or its mobile-device application software ("app"). Twitter, Inc. is based in San Francisco, California, and has more than 25 offices around the world.Twitter was created in March 2006 by Jack Dorsey, Noah Glass, Biz Stone, and Evan Williams, launched in July of that year. The service rapidly gained worldwide popularity. In 2012, more than 100 million users posted 340 million tweets a day, and the service handled an average of 1.6 billion search queries per day. In 2013, it was one of the ten most-visited websites and has been described as "the SMS of the Internet". As of 2018, Twitter had more than 321 million monthly active users. Since 2015 Twitter has been a hotbed of debates and news covering politics of the United States. During the 2016 U.S. presidential election, Twitter was the largest source of breaking news on the day, with 40 million election-related tweets sent by 10:00 p.m. (Eastern Time) that day.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Trump ame-'tweet' kuwa alishinda kwa kura nyingi, twitter wakanusha

    Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump. Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa. Mtandao wa twitter umeongezea link kwenye tweet ya Trump kuonyesha matokeo halisi yaliyotangazwa.
  2. Sam Gidori

    Uchaguzi Marekani: Trump amshutumu Biden kuiba kura, Twitter yatoa tahadhari kuhusu chapisho la Trump 'linalopotosha'

    Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura. Trump aliandika...
  3. UKWELIYAKINIFU

    Verification of Twitter accounts blackmailing Tanzania Was a Help from US Embassy

    Some anonymous accounts blackmailing Tanzanian government, have been verified and sponsored same day when US embassy joint latter with Germany embassy went viral on the internet revealing their support to opposition parties which later they claimed to be fake on their twitter account. According...
  4. Miss Zomboko

    Afisa mpya ya Kamishna wa Kulinda Data atalinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter

    AFISI mpya ya Kamishna wa Kulinda Data italinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter na Google, Immaculate Kassait ambaye ameteuliwa kushikilia wadhifa huo amewahakikishia wabunge. Bi Kassait, ambaye kabla ya Rais Uhuru Kenyatta...
  5. S

    Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020 Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the principles of the #OpenInternet #KeepItOn
  6. M

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  7. T

    Jinsi ya kutumia Twitter

    Wakuu naomba mnifahamishe namna ya kutumia Twitter sababu imefungiwa, je kuna namna nyingine yakutumia?
  8. Magazetini

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  9. Keynez

    Kwa mkupuo, Twitter imeverify account za Watanzania zaidi ya 6

    Habari za hivi punde zinazoashiria upepo wa matumaini unazidi kuvuma, ni kuwa Twitter imeverify account zifuafazo, tena kwa mkupuo. Tundu Lissu Fatma Karume Chadema Tanzania John Mnyika Zitto Kabwe Carherine Ruge ACT Wazalendo Najua kuna watakaokuja na kubeza na hata kutaka kulinganisha na...
  10. mugah di matheo

    Simba sc English on Twitter kweli hii ni next level

    Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English" Utopolo mpooooo? Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige Hii ni next level iga ufe
  11. Rahma Salum

    Akaunti ya mtandao wa Twitter ya Balozi wa China nchini Uingereza imeonesha kupenda “like” picha yenye maudhui ya ngono

    Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo. Tukio lilitambuliwa mara ya kwanza na Mwanaharakati wa haki za binadamu Uingereza na kusababisha...
  12. Kurzweil

    Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

    Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe Uongozi wa Twitter...
  13. Nigrastratatract nerve

    Uchaguzi 2020 Alikuwa akisoma comments za Twitter akajua kwamba ameshakuwa Rais, amechanganyikiwa

    Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda. Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi. Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu...
  14. The Sheriff

    Twitter yazuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kuposti taarifa potoshi kuhusu COVID-19

    Twitter imezuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kukiuka sheria zake zinazohusu usambazaji wa taarifa za upotoshaji, baada ya kuposti video ya Rais huyo wa Marekani akisema watoto wana kinga dhidi ya Coronavirus. Twitter imesema kuwa tweet kutoka akaunti ya @TeamTrump, ambayo ilionesha...
  15. Miss Zomboko

    Kijana wa miaka 17 akamatwa kwa udukuzi wa akaunti za watu maarufu Twitter

    Mamlaka katika Jimbo la Florida zimemkamata Graham Ivan Clark kama mtuhumiwa mkuu wa Udukuzi uliotokea kwa watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Bill Gates na Kanye West katika mtandao wa Twitter Graham anatuhumiwa kwa makosa 30 likiwemo la udukuzi na atashtakiwa kama mtu mzima pamoja...
  16. Cannabis

    Wakati Taifa likiomboleza, watanzania wa Twitter waongeza kasi ya maandalizi ya bonanza kubwa 25/07/2020

    Wakuu wote kama taifa tumepatwa na msiba baada ya kuondoka kwa Rais mstaafu Ndugu Benjamin W. Mkapa na tumetangaziwa kuwa na maombolezo ya kitaifa kwa siku 7. Katika pita pita zangu nimeona kuwa kuna bonanza kubwa lililopangwa kufanyika tarehe 25/07/2020 katika viwanja vya posta jijini Dar es...
  17. Kurzweil

    Mtandao wa Twitter wakiri kudukuliwa

    Uongozi wa Mtandao huo umekiri kuwa Wadukuzi walifanikiwa kuingilia akaunti za watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Kanye West pamoja na Bill Gates Akaunti hizo zenye idadi kubwa ya wafuasi zilishuhudiwa zikiweka taarifa ya matangazo kuhusu sarafu ya mtandaoni ya Bitcoin Twitter...
  18. S

    Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  19. S

    Naomba kujuzwa jinsi ya kupata followers laki 1 kwenye mtandao wa Twitter

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumiaji wa mtandao wa twitter toka mwaka 2015 lakini mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na followers 500+. Kwa mujibu wa wadau, followers wa twitter ni hela kuna namna mbalimbali ya kuingiza pesa kwa kutumia mtandao wa twitter lakini...
  20. Analogia Malenga

    Twitter yaficha ‘posts’ za Trump zinazotishia waandamanaji

    Mtandao wa Twitter umezificha posts za Rais Trump zinzotishia kutumia nguvu kumaliza maandamano. Hatua hii imekuwa ni ya kwanza kwa mtandao huo kuchukua hatua ya kuficha maudhui ya vitisho Kitendo hiko cha twitter kimefanya katika maudhui aliyoyaweka Trump kwa kuweka kiunga kinachompeleka...
Back
Top Bottom