Twitter () is an American microblogging and social networking service on which users post and interact with messages known as "tweets". Tweets were originally restricted to 140 characters, but on November 7, 2017, this limit was doubled to 280 for all languages except Chinese, Japanese, and Korean. Registered users can post, like, and retweet tweets, but unregistered users can only read them. Users access Twitter through its website interface, through Short Message Service (SMS) or its mobile-device application software ("app"). Twitter, Inc. is based in San Francisco, California, and has more than 25 offices around the world.Twitter was created in March 2006 by Jack Dorsey, Noah Glass, Biz Stone, and Evan Williams, launched in July of that year. The service rapidly gained worldwide popularity. In 2012, more than 100 million users posted 340 million tweets a day, and the service handled an average of 1.6 billion search queries per day. In 2013, it was one of the ten most-visited websites and has been described as "the SMS of the Internet". As of 2018, Twitter had more than 321 million monthly active users. Since 2015 Twitter has been a hotbed of debates and news covering politics of the United States. During the 2016 U.S. presidential election, Twitter was the largest source of breaking news on the day, with 40 million election-related tweets sent by 10:00 p.m. (Eastern Time) that day.
Hawa Twitter wamemfungia Trump account wakitoa sababu kuwa anahatarisha usalama na kunajisi demokrasia. Lakini Hiyo hiyo Twitter imekuwa inawaacha wanaharakati wa Afrika hata kama watawala wake wanapiga kelele kuwa wanahatarisha amani za nchi zao.
Nani amewapa uwezo wa kuhukumu kuwa huyu ni...
Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita
Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa na wafuasi takriban milioni 88 kumefanya bei ya Hisa kushuka na kupoteza Dola Bilioni 5 (Tsh...
Kiongozi wa Ujerumani mama Angela Markel amepinga uamuzi wa Twitter kumfungia Donald Trump kwa kusema utaratibu huo haukubaliki.
Markel amesema vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vilitakiwa kuona kama Trump anahatarisha amani au lah na sio menejimenti ya Twitter.
Twitter kwenye utetezi wake...
Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake.
Sera hizo mpya...
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.
Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali .
Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa...
Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama.
Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo.
Nchini Marekani...
Rais wa Marekani Donald Trump amefungiwa kabisa akaunti yake ya Twitter kwasababu ya hatari ya kuchochea vurugu zaidi", kampuni hiyo imesema.
Kampuni ya Twitter imesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kufuatiliwa kwa karibu kwa ujumbe wa Twitter wa akaunti ya @realDonaldTrump account".
Baadhi ya...
KOT huwa tunapiga CNN sana wakileta ujinga. This time walikuwa wanadanganya kuwa Mzungu fulani ndiye alikuwa mtu wa kwanza kugundua kwamba hump-back wales (aina fulani ya nyangumi) wapo Kenya. KOT iliwaka moto hadi CNN wakaedit story yao.
Ikumbukwe kuwa CNN pia waliwahi kuita Kenya "A hotbed of...
Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa.
Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
Natumai tuko vizuri wadau,
Nina changamoto yaku login kwenye account yangu ya Twitter almost wiki ya 2 sasa. Nikijaribu kwa mda mrefu inaandika authorizing ila lastly inaandika error, kwenye option yaku forget password au to create new account pia haitaki, natumia iphone 6 plain, na kila aina...
Habari Wadau wa humu?
Nisiwachoshe wala kuchoshana humu?
Ipo hivi huko Twitter kuna connection zinatembea kwamba eti katika wale COVID19 kuna mmoja wao eti kaachia vitu vya dakika kadhaa akiwa anajirecord amepanda juu ya nini sijui? Nafikili ni mtu amepanda juu ya mtu,
Sasa basi na jina lake...
Tuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia.
Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wanasiasa wawili, twitter haiko hewani. Tunahangaika kupitia njia za panya ili kuwasiliana na kusoma mambo ya muhimu. Hii kufunga funga itaendelea hadi lini wakati kuna...
Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka kufikia hatua ya kusaliti wananchi wao na kusaliti msimamo yao.
Inawezekana wanapokea mlungula mrefu...
Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...
Hawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au...
Rais Uhuru Kenyatta ambaye anatajwa kuwa mkenya mwenye ‘followers’ wengi katika mtandao wa twitter ameifunga akaunti yake ya twitter kwa zaidi ya mwaka
Amesema taarifa za nchi zitashughulikiwa na Akaunti Rasmi za Ikulu. Amesema amechana na mitandao kutokana na matusi ya wachangiaji
Amesema ‘ni...
Habari zenu wakuu,
Nimekua nashindwa kuingia Twitter kupitia laptop yangu, je hili tatizo lipo kwangu tu au kwa kila mtu?
Kwenye App ya simu inakubali fresh tu
Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter.
Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda wote ni kueneza propaganda za uongo na kutukana viongozi.
Mbona China waliifungia baada ya kuona...
Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.
Niliandika hapa...
Kwakweli ukipitia comments kila Mheshimiwa Sana anapo-tweet,unapata picha jinsi watu walivyo na machungu na hasira juu yake.
Swali ni je,Mheshimiwa Sana huwa anapitia hizo comments?
Na vijana wa Lumumba mbona hawajitokezi walau ku-balance equilibrium?
Kama anapitia, anajifunza mini?
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.