Twitter () is an American microblogging and social networking service on which users post and interact with messages known as "tweets". Tweets were originally restricted to 140 characters, but on November 7, 2017, this limit was doubled to 280 for all languages except Chinese, Japanese, and Korean. Registered users can post, like, and retweet tweets, but unregistered users can only read them. Users access Twitter through its website interface, through Short Message Service (SMS) or its mobile-device application software ("app"). Twitter, Inc. is based in San Francisco, California, and has more than 25 offices around the world.Twitter was created in March 2006 by Jack Dorsey, Noah Glass, Biz Stone, and Evan Williams, launched in July of that year. The service rapidly gained worldwide popularity. In 2012, more than 100 million users posted 340 million tweets a day, and the service handled an average of 1.6 billion search queries per day. In 2013, it was one of the ten most-visited websites and has been described as "the SMS of the Internet". As of 2018, Twitter had more than 321 million monthly active users. Since 2015 Twitter has been a hotbed of debates and news covering politics of the United States. During the 2016 U.S. presidential election, Twitter was the largest source of breaking news on the day, with 40 million election-related tweets sent by 10:00 p.m. (Eastern Time) that day.
Hivi ni kwanini wenye Mamlaka wengi nchini Tanzania neno Samahani ( Naomba Radhi ) Kwenu huwa ni Gumu sana huku mkidhani mkisema itakuwa mnajidhalilisha au kuonekana dhaifu?
Yaani kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana ( 2020 ) hadi hii Leo Huduma ya Mtandao wa Twitter ilikuwa haipatikani mpaka...
Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet.
Mara baada ya uchaguzi...
Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
Habari ndugu zangu,
Mimi natumia internet ya Ofsini kwetu Ethernet/WiFi iliyowekwa na Internet Providers....tatizo ni kwamba huwezi kutumia mtandao wa Instagram na Twitter mpaka uwashe VPN.
Naombeni msaada wa kutatua changamoto hii kama naweza kutumia mitandao hiyo bila VPN coz mitandao...
Sababu ambazo Twitter wamezitoa Kwanini wameamua kuanza na Ghana na sio sehemu nyingine yoyote barani Afrika ni:-
Ghana ukomavu wa Demokrasia ikiwemo uwepo wa Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Mtandaoni
Twitter wamesema kuwa wameanza kutengeneza 'team' nchini humo kabla ya kufungua Ofisi rasmi...
Habari
mtandao wa twitter ulikuwa una sumbua katika simu yangu nikaona nijaribu kudelete kisha niinstall tena lakin ajabu kila nikijaribu kuinstall haukubali katika simu wala pc
naomba msaada waungwana
Huu ujasiri Watanzania tunaupata wapi?
TCRA, Polisi , wako kimya, wameshindwa kumkata huyu aliyefoji account ya Mzee Kikwete?
Mmeshindwa kwa Kigogo, na Sasa mmeshindwa tena kwa huyu anayechafua na kuharibu image ya rais mstaafu.
Urusi imerudishwa mpango wake wa kuuungia mtandao wa twitter, kwa sasa wameuongezea muda hadi Mei 15 ili waweze kuendana na sheria za Urusi.
Mamlaka za Urusi Twitter zimekuwa zikiruhusu maudhui yaliyopigwa marufuku ikiwemo ponographia za watoto na kuchochea kujiua. Machi 10 Urusi ilitangaza...
Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo.
Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano...
Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala.
Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
Habarini za jioni wana JF,
Nina shida moja kwenye app ya Twitter, nikitazama video halafu ikiisha nikirudi nyuma kuendelea na mambo mengine ile sauti ya video inaendelea kuplay, na hata nikitoka kabisa nje hadi homescreen inaendelea kuplay, inakata pale tu niki-clear kwenye recent activity...
Twitter has been inaccessible for a while now following a general election! And I don't understand why is this so! But it is accessible by a virtual private network! Its obvious Twitter is still blocked in our country, and I speculate it is because Kigogo and his company who are always critical...
Just In! Nimepokea feature hii ya Spaces muda kidogo uliopita. Kupitia Spaces kuna Host, Listener's, na mambo mengine mengi zaidi.
Twitter Spaces ni mfumo wa kuwasiliana kwa kutumia sauti likely kama ilivyo Clubhouse kwa iOS user's. Twitter Spaces inapatikana ndani ya Twitter ni 'Built In...
Twitter imesema kuwa inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji wa mtandao huo watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa habari za uongo.
Kampuni hiyo yenye makao yake San Fransisco nchini Marekani imesema katika chapisho la...
Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni.
Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama wa taifa, serikali ya India sasa inatunga mswada utakaolazimisha mitandao ya kijamii kukubaliana na...
Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania.
Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko.
Kila mtu anajua sasa hivi...
Mtandao wa kijamii wa Twitter umezifungia kwa muda akaunti za baadhi ya watu waliojihusisha na maandamano ya kutaka mabadiliko katika sekta ya kilimo, ikiwamo akaunti ya gazeti maarufu la Caravan linaloandika kuwatetea wakulima, mwanaharakati Hansraj Meena na mwigizaji Sushant Singh.
Hatua...
Kama Watanzania tungekuwa tunatumia nguvu nyingi kiasi hiki kama hizi zilizotumika kujibu hii tweet katika kufanya mambo ya msingi nina uhakika kabisa tungefanikiwa katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kutokutawaliwa na mabeberu wazawa pamoja na makaburu wazawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.