Bondia wa ngumi za uzito wa juu, Tyson Fury, ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi baada ya kushindwa kwenye pambano na Oleksandr Usyk. Taarifa hii inakuja siku mbili tu baada ya Eddie Hearn kufichua mipango ya pambano kati ya Fury na Anthony Joshua katika Uwanja wa Wembley, ambalo lilikuwa...
Bondia Tyson Fury amesema anatakiwa kumpiga mpinzani wake, Oleksandr Usyk kwa K.O na sio kwa pointi kwa kuwa anaamini wakimaliza pambano na matokeo yakakiwa kuamuliwa kwa pointi basi itakuwa ngumu kwake kushinda.
Pambano la marudio la wababe hao limepoangwa kufanyika Jumamosi Desemba 21, 2024...
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis apewe triple D apigane naye kabla ya kurudiana na Tyson Fury.
Binafsi nimeona haikuwa rahisi...
Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia.
Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii wameonekana kuuzunishwa na matokeo ya pambano hilo la Boxing ambapo Bingwa mtetezi wa Masumbwi...
Wanajf, leo kuna pambano kubwa duniani kati ya Mweusi Ngannou na Mzungu Fury. Ni pambano kubwa na la kusisimua.
Wewe kama mpenzi wa ngumi, ushindi unampa nani?
=====
Muktasari:
Leo Oktoba 28, 2023, Mwanamasumbwi Francis Ngannou maarufu "The Predator" anapanda ulingoni kuzichapa na bingwa wa...
Hawa jamaa Tyson na mwenzake Crawford si chochote si lolote kwa kifupi ni waoga kupindukia.
Hawa wote wawili wana mkanda mmoja mmoja , Tyson ana WBC Super belt, na Crawford ana WBO lakini wapinzani wao wanaotaka kupigana nao wana mikanda mitatu lakini cha ajabu hivi vijamaa vinakwepa kwepa...
Pambano limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Wembley, Aprili 29, 2023 lakini halitakuwepo baada ya Oleksandr Usyk kumtupia lawama Fury.
Timu ya Usyk imedai licha ya Fury kunufaika katika mgawanyo wa malipo kwa asilimia 70-30 lakini ametoa masharti mengi ambayo yameonekana kumkwaza Usyk...
Bondia Tyson Fury ametamka kuwa amefuta mpango wa kupigana na Anthony Joshua huku akimtaja mpinzani wake huyo kuwa ni muoga kutokana na kutokuwa na msimamo wa kutoa majibu kuhusu kusaini mkataba wa pambano lao.
Fury alimpa muda Joshua kusaini mkataba huo hadi kufikia Septemba 26, 2022 ili...
Bondia Tyson Fury amesema kuwa yupo tayari kutoka kwenye kustaafu na kurejea ulingoni kupigana na Anthony Joshua bila malipo kwenye Uwanja wa Wembley, England.
Fury, 33, alishinda pambano lake dhidi ya Dillian Whyte, Aprili 2022, na akasisitiza kuwa anastaafu.
“Ni Bwana Biashara, siyo...
Bondia Tyson Fury amefanikiwa kutetea Mkanda wa WBC The Ring baada ya kumpiga Dillian Whyte kwa TKO katika raundi ya sita ya pambano lao la usito wa juu usiku wa kuamkia leo Aprili 24, 2022.
Mashabiki 94,000 waliweka rekodi ya kuujaza Uwanja wa Wembley Jijini London kushuhudia Mwingereza huyo...
Kwa wale wapenda michezo hasa ndondi aka boxing, mnaweza kuangalia pambano now live kupitia Live Once and For All: Tyson Fury vs Deontay Wilder III Online | Once and For All: Tyson Fury vs Deontay Wilder III Stream
Mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu wa uzito wa juu duniani kati ya Tyson Fury vs Anthony Joshua umeenda mlama baada ya bondia Deontay wilder kutumia nguvu ya mkataba kutaka pambano la tatu sawa sawa na mkataba.
Pambano hilo litafanyika Tarehe 24 Julai na wengi wanaamini kuwa Deontay Wilder...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.