1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza...
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.
Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika!
Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa!
Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini!
Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
KUMBUKUMBU
Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu!
Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu.
Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
Salaam Wakuu,
Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA).
Msaada:
Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫
NATAFUTA KAZI YA UALIMU
Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na...
Leo nimejisikia vibaya Sana baada ya kumsikia Mzazi mmoja akimgombeza Mtoto wake aliyekua na ndoto ya kusomea ualimu, maongezi yao yalikua hivi.
Mtoto: baba Mimi nataka kusomea ualimu.
Baba: hivi umechanganyikiwa? yaani uende ukawe Mwalimu? Walimu Wana maisha gani? Eeeh! Wana kipi Cha...
JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl...
Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu.
Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
Habari za asubuhi ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
Wasalaam,
Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku.
Walimu na elimu vinahitaji good governance...
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535
All the best for all job seekers.
Kindly share for others too.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.