ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    SoC02 Ualimu si wito, ni taaluma yenye sifa na tija kwa taifa la Tanzania, tukiwathamini Walimu tumeithaminisha Tanzania

    UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA. HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU Kama Taifa tulipofikia hapa sasa tume muacha Mwalimu na maswali mengi hata pengine ambayo hakusitahili kujiulza, na mengine...
  2. M

    Postgraduate Diploma in Curriculum (Open Universty)

    Nimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa mwalimu wa secondary to mwalimu wa vyuo vya ualimu.
  3. mwenye shamba

    Tarehe ya kuripoti ajira mpya ualimu

    Jamani naombeni kujua tarehe ya kuripoti tu ndugu zanguni,huku mtaani pamenichosha kabisa.
  4. fullcup

    Nimekosa ajira za ualimu tena

    Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
  5. K

    Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira. Surprisingly hajaona jina lake. Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
  6. Sir_Finus

    TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo. Kumbe zilikuwa hewa na TAMISEMI walijua hawawapangii watu kabisa katika nafasi hizo. La kujiuliza, kama...
  7. L

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya
  8. JanguKamaJangu

    TANGA: Chuo cha Ualimu hakina huduma ya Internet

    Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo. Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga...
  9. Analogia Malenga

    Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  10. L

    Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
  11. mudy92

    Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
  12. Meneja Wa Makampuni

    Hivi ni kwanini Serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi za afya na ualimu?

    Hivi ni kwanini serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi ajira za afya na ualimu. Inamaana huwa haiwazi kuwa kuna graduates wa fani zingine pia? Hivi ni kwanini isifuatilie upungufu na kwenye taasisi zingine kisha itangaze ajira kwa pamoja? Kwanini ajira za graduates wa fani...
  13. T

    Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  14. Clark boots

    Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
  15. JanguKamaJangu

    Mitihani ya kitaifa ya Ualimu kusahihishwa kidigitali

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, leo Aprili 18, 2022 amekagua na kuridhishwa na majaribio ya Mfumo wa Kidijitali wa Usahihishaji Mitihani ya Kitaifa ya Ualimu ulioandaliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi na kujionea...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  17. E

    Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  18. D

    Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  19. Teko Modise

    Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa. Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua...
  20. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Kila Mwanafunzi kutumia Komputa yake katika Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
Back
Top Bottom