Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu
Habari wakuu.
Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA.
Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
Natanguliza shukran zangu kwenu
Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana
Kikubwa tu tupendane
Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo
Pia na kwa wale...
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki
Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia!
Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano!
Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka,
Tabia za kihisia (Moody)...
MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba.
Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph.
Mashabiki wamemuwashia moto hatari.
Hapo issue yake ya App ya Pannel ambayo ni App ya Wallpapers...
Kwenye haya maisha kuna watu tumezaliwa na gundu kiasi kwamba toka unazaliwa mpaka unakufa maisha yako ni Magumu tu hata kama Unapambana vipi kujikwamua kwenye huo Ugumu.
Inaumiza unaishi kwenye Jamii ambayo ukipata shida ya 20k hakuna mtu ambae anaweza kukukopesha kwa sababu anahisi hauwezi...
📖Mhadhara (57)✍️
Hebu fikiria, tunaagiza magari kutoka Japan na nchi nyingine, jinsi tunavyoyaona magari kwenye mitandao ndivyo ambavyo tunaletewa na kuyapokea bandarini kama tulivyoyaona. Huo ni uaminifu wa hali ya juu kwenye biashara.
Lakini unakuta gari hilo hilo lililotoka Japan...
Wakuu kwema?
Niwe mkweli, siku hizi kiwango cha uaminifu kimeongezeka sana hasa kwenye pesa. Sijajua sababu.
Unaweza kukutana na mtu hamjuani ukamuachia pesa nyingi bila maandishi na kazi akafanya tena kwa wakati.
Mifano
Kuna dogo nilimpa 4M simjui anifanyie kazi, bila maandishi, jamaa yangu...
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine.
Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo...
Ukiona maisha yako hayaeleweki eleweki, kupata milo miwili au mitatu ni shida, juwa una mapungufu katika hivi vitu vitatu:-
Uaminifu
Kujituma
Unaona aibu
Wapo watu wengi wana mitaji midogo midogo na mikubwa, ila wanakosa watu wa kusimamia shughuli zao, kwa sababu vijana wengi wana ona aibu kwa...
VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050
Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha...
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu.
Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana.
Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha.
“Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
Nilijikuta kwenye mbio za kutembeza Twitter siku nyingine. Ndio, bado unaiita "Twitter." Baadhi yenu waimbaji wa teknolojia wanaweza kuiita X, Y, au nani-anajua-nini-kifuatacho, lakini nivumilie. Kuingia kwenye tweets za kisiasa ni kama kuchimba kwenye mfuko wa chips mbalimbali - baadhi...
Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako,
Kuna uwezekano mdogo atakuacha.
Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.
Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu.
Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.