MOHAMED GHASSANI AMEZUNGUMZA UKWELI NA UAMINIFU WA MAALIM
Nami naweka ushahidi wangu wa mapenzi waliyokuwa nayo watu Visiwani na Bara kwa Maalim.
Bahati mbaya sana mimi Allah hakunijaalia kipaji cha utunzi wa mashairi wala sauti ya kuyasoma mashairi asomavyo yeye.
Hatuchoki kumsikiliza, ''The...
Habari wakuu natumaini hamjambo
Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu
1: Kuna rafiki yangu alikuja kuniambia kamuona wife sehem yupo na jamaa wanakula bata kama siamini eti...
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.
Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa...
Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine.
Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za...
Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.
Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa...
Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point ..
Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa Mara ili tatizo linajirudia ..
Mwaka Jana nilikuw na kias cha pesa over 700k pesa niliotaka ku...
Ndugu zangu niwape jambo hili ambalo limenitokea mimi mwenyewe siku kama mbili zimepita, nilikuwa napeleka mzigo kwa mteja sasa kufika kwake nikamkabidhi halafu akanipatia pesa nikaondoka nikiwa bado maeneo yaleyale nikaangalia simu yangu nikagundua mteja alishalipia ule mzigo nadhani alisahau...
Akichangia hoja ya Waziri Mkuu kwenye kikao cha 11 cha Bunge la 12 Spika wa Bunge Muheshimiwa Job Ndugai aliwasihi waheshimiwa wabunge kufikiria na kuchangia juu ya tatizo la kupungua kiwango cha uaminifu kwa vijana wa Tanzania na kupendekeza namna ya kutatua tatizo hili. Katika maelezo yake...
Mwanaume au Mwanamke, sote huwa tumejenga Vigezo au Mambo ambayo tuna tarajia kutoka kwa wenzi wetu while tukiamini mambo hayo tukiyapata, kuyaona au kuya-experience kutoka kwa wenzi wetu basi ndio nguzo ya sisi kuwapenda zaidi, kuthaminiwa, maelewano na furaha.
Ofcourse tuna mambo mengi...
Mama mmoja wa umri wa kati ya miaka 65 na 70 alipita pale stand ya mabasi CHATO na kukaribishwa na wapiga DEBE huku wakimhoji anasafiri kwenda wapi. Katika kujieleza mama huyo aliulizia ofisi za NIDA ziko wapi ili akapate huduma ya vitambulisho.
Wale wapiga debe walimuuliza yule mama ni kwa...
Mfalme alipoona umri umeenda aliamua kutafuta mtu wa kumrithisha Ufalme wake.
Mfalme alikusanya vijana 10 na akawaambia atawapa mtihani yule atakae faulu ndiyo atakuwa mrithi wake.
Mfalme aliwapa vijana hao mbegu za mahindi na akawaambia kila mmoja aende nazo nyumbani akazioteshe, akawapa muda...
Habari wakuu.
Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au mpenzi wako.
Kutokana na changamoto ya kuwa mbali na mchumba wangu wa muda mrefu sababu ya kuwa mikoa...
Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema.
Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples'...
Habari wanajamvi,
Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.
Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza...
Najua ndio muda wetu wa kutafuta, lakini si kila fursa inayopita mbele yako lazima ufanye ujanja ujanja ili ufaidike. Jifunzeni kujenga uaminifu kwa watu hasa msiowajua.
I hate untrustworthy people.
Ndg wanajamvi habari za jumapili.
Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana.
Je...
Habari za wakati huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.