Uamuzi wa serikali wa kuhamisha jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi wa kisheria na kisiasa, inayolenga kulinda maslahi ya taifa pamoja na kuhifadhi mazingira. Hatua hii, ingawa imeibua hisia mchanganyiko, inafuata mwelekeo wa matukio mengine yaliyowahi kutokea...
Mvutano wa kisheria unaoendelea Kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha pingamizi likiwa na hoja mbili.
Wajibu maombi katika shauri hilo namba 17558/2024...
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa.
"Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.
Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul ambaye ni Mrufaniwa.
Katika rufaa hiyo, Ally anapinga maamuzi yaliyofanywa na Mahakama ya...
Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010
USHAHIDI HUU HAPA
Elimu ya Sekondari
61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
Mahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake.
Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k..
Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji.
Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki.
Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani ya Kikristo pamoja na kiongozi wetu Papa Fransis kana kwamba dini zao zinawaumini Watakatifu pekee...
Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania.
Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024
Ujumbe wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania.
--...
Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ?
Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki.
Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja.
Mara ya kwanza...
Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023.
Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
Yamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.