uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Ardhi kumtaja Spika kwamba anunua kiwanja kilichouzwa na Jiji. Je, anataka kumchafua baada ya spika kutoa uamuzi Bungeni?

    Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea. Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
  2. M

    Acheni kupotosha. Hawa bado ni wabunge wa Chadema mahakama bado haijaamua. Hakuna uamuzi wa mahakama uliowabatilisha.

    Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
  3. Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Habari! Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo. Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana. Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia? Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
  4. S

    Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

    Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM. Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
  5. Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  6. S

    SHAKA: Uamuzi wa kuwapanga Wamachinga usiwape Umasikini Wananchi

    Na Mwandishi Wetu, Kutoka Babati. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna lengo la kuwatia umasikini bali kuwajengea mazingira mazuri ya kujiongezea kipato. Amesema kutokana...
  7. F

    Baada ya uamuzi wa jana CHADEMA na Halima wana mtihani mkubwa

    Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti na ile ambayo yeye na wenzake waliona kuwa ni ya haki. Wasiwasi huo usingekuwa bure kwa sababu...
  8. Weka taarifa za ada na ubora wa shule hapa ili kusaidia wazazi kufanya uamuzi sahihi

    Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level. Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango. Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
  9. Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

    Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji. Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
  10. Iringa: DPP aiondoa kesi ya Abdul Nondo katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania - Iringa). Maamuzi ya Mahakama Kuu yaliona kuwa jamhuri walishindwa kuthibitisha kesi yao pasipo...
  11. Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  12. N

    Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

    Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa: "40. Dismissal of charge At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
  13. N

    Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

    Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe. Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na...
  14. Uamuzi wa kuacha kazi baada ya mapato ya biashara kuzidi mshahara

    Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko na ushindani na ilifika wakati hata kodi ilisumbua Namshukuru mungu nilipata ajira kwa mkataba wa...
  15. Mawakili wa utetezi wakwamisha uamuzi mdogo kesi ya Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakili wa utetezi kushindwa kufika mahakamani. Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  16. B

    CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

    Nimeisikia
  17. Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  18. Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  19. Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  20. Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…