uandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  2. M

    Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  3. Feisal2020

    NATAFUTA KAZI YA UANDISHI WA MAKALA

    Habari wakuu, Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta ya utalii, safari, michezo, kamari na masuala ya kijamii, huku nikitumia mbinu za kisasa za SEO...
  4. Dr Restart

    In the Name of the President: Umahiri wa Uandishi na mkakati wa kuteka soko

    Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi anayeheshimika, ametoa kazi ya kipekee katika kitabu chake kipya kinachotarajiwa, In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist. Kwa simulizi zake zenye ujasiri na mada zenye msisimko, kitabu hiki kimeanzisha mijadala kila mahali...
  5. T

    Ajali ya Basi la Wabunge Ilivyoibua Changamoto za Uandishi Sahihi wa Habari Katika Vyombo Vyetu

    Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma, ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi kujaribu...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

    Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka...
  7. Rorscharch

    Usimshauri ndugu au rafiki asomee uandishi wa habari: ni sekta ambayo inaenda kufa na atateseka sana

    Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!! Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
  8. Companero

    Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024-2025

    Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo. Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi...
  9. Roving Journalist

    Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT), leo September 28, 2024

    https://www.youtube.com/live/xHd53cbsmoA?si=Rm1YGprC9EkHdvry Zoezi la Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ndiye Mgeni Rasmi akimuwakilisha Spika Tulia Ackson...
  10. mrdocumentor

    Mafunzo ya Uandishi wa Research Proposal Bure

    Hello, Jina Langu Mr Documentor, Founder and Owner of Mr Documentor Academic Hub. Nitumie Furse hii ya uhai kuwakaribisha wanafunzi wote Tanzania hii na Nje ya Tanzania Ambao wanatarajia kufanya Research Mwaka huu wa Masomo yaani 24/25 Kuhudhuria kwenye Darasa la uandishi wa Research Proposal...
  11. F

    Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana...
  12. F

    Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  13. GENTAMYCINE

    Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

    "Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
  14. B

    SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  15. Tranquilizer

    Unaweza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia uandishi

    Ndio, unaweza kutengeneza pesa kupitia uandishi mtandaoni. Kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kufanya hivyo: 1. Blogu: Unaweza kuanzisha blogu yako na kuchapisha maudhui kuhusu mada zinazokuvutia au zinazohusiana na ujuzi wako. Unaweza kupata pesa kupitia matangazo ya Google AdSense...
  16. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo vyombo vya habari viache kuajiri watu wasio kuwa na ujuzi wa habari& utangazaji na uandishi

    Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
  17. J

    Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

    Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
  18. Mohamed Said

    Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  19. M

    SoC04 Uandishi isiwe ‘mission’ Taaluma iheshimiwe

    Na Mwandishi wetu. Wanahabari wenye weledi na wanaozingatia maslahi ya Taifa ni chachu ya kutimiza dhima ya kuleta mchango kwa taifa. Haiba na taswira yenu nzuri huwa inaharibiwa na uandishi wa habari usiofuata maadili ya uandishi wa habari, kuandika habari ambazo hazijafanyiwa utafiti...
  20. GoldDhahabu

    Niuanze uandishi wa vitabu lini?

    Perfectionism na kuwa "media shy" ni miongoni mwa vizuizi ambavyo ningali ninakabiliana nazo. Naelezea: PERFECTIONISM Najiona bado sijakidhi vigezo vya kiunadishi. Japo lengo langu kuu si kujipatia fedha bali kuufikisha ujumbe kwa hadhira lengwa, sipendi kufanya jambo ambalo sijashawishika...
Back
Top Bottom