uandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
  2. The unpaid Seller

    Nampongeza Robert Hariel kwa uandishi wake wakini hapa JF

    Nitoe pongezi kwa ROBERT HERIEL nimekua msomaji wa maandiko yake mengi humu JF na nikiri wazi kua kijana huyu (naamini ni mwanaume kutokana na hulka na uandishi wake) analenga taswira chanya katika kila andiko lake. Hana tabia ya kupindisha ukweli ili kupeti peti wanajukwaa, jamaa atasema...
  3. Akaliza

    Naomba kusaidiwa dondoo za uandishi wa nyimbo

    Bila kupoteza muda naomba niingie kwenye mada tajwa. Ninatamani sana kujifunza uandishi wa nyimbo, licha ya kujaribu ku "Google" ili kupata muongozo nimejikuta sisogei mahali popote. Kwa kuthamini uwepo wa Jukwaa la maarifa-JF, nimeona nije humu kuomba msaada wenu. Kama una tips za Uandishi wa...
  4. B

    Kuna baadhi ya maneno yakitumika kunogesha soka, kwa wengine si "sanaa" bali huleta maumivu

    "Sanaa ya Uandishi" ni neno nililolisikia siku chache zilizopita baada ya tukio la kupigwa mashabiki kiwanjani walipoenda kwa kusudi la kutazama mchezo wa soka. Baadaye kilichofuatia ni tamko kutoka katika uongozi wa Simba. Lugha iliyotumika kukemea tukio la kupigwa mashabiki hao ndio...
  5. Cannabis

    Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
  6. markp

    Hivi uandishi wa habari Tanzania ni tofauti ma nchi nyingine? Kazi hasa ni zipi?

    Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi? Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa. wanachunguza mambo ya afya za...
  7. I am Groot

    TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

    "Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao." Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha...
  8. Mohamed Said

    Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

    GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT? Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa. Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed. Huyu ndiye kiongozi...
  9. vanilla

    Uandishi wa vitabu

    Habari zenu wapendwa; kwa wapenzi wa kusoma vitabu je ni kitabu gani unatamani kukisoma lakini hakijawahi kuandikwa? Au ni topic gani ungependa kuisoma kwenye kitabu? Je ni kujifunza kazi za mikono? Mapishi? Hadithi? Ni nini unatamani kusoma?
  10. M

    Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  11. M

    Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  12. K

    SoC01 Utawala Bora: Maana, Faida na Changamoto zake

    UTAWALA BORA Utawala Ni mamlaka aliyonayo mtu wa uteule aliyeteuliwa au kuchaguliwa na watu ili aweze kuwa muwakilishi na kiongozi wao katika kushughulikia masuala mbalimbali ya kijamii katika kitengo husika alichopewa inaweza kuwa ni Rais, Waziri Mkuu au Mbunge . Nini utawala Bora? Utawala...
  13. M

    Je, udhalilishaji huu wa Taaluma ya Uandishi wa Habari nchini unaofanywa na GSM ni kwamba MCT ya Mukajanga na TEF ya Balile wameubariki?

    Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu. Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi...
  14. Nyani Ngabu

    Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Other name? Siyo ‘Middle name’? Sex? Marital Status? Tribe? Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika. Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé . Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye...
  15. K

    SoC01 Maendeleo ya Jamii

    MADA: MAENDELEO YA JAMII Kwanza kabisa tunapozungumzia maendeleo kwa upana wake zaidi ni like kitendo Cha kuinuka au kuhama kutoka hatua moja kwenda hatua inayofuata au kutoka hatua mbovu kwenda hatua Bora zaidi katika nyanja mbalimbali za kimaisha ya kibinafsi au ya kijamii. Na jamii ni ule...
  16. JamiiForums

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  17. Mkaruka

    Upi ni uandishi sanifu: Muenendo au Mwenendo, Mwongozo au Muongozo?

    Kama kichwa cha mada kisemavyo. Kwa wataalamu msaada tafadhali.
  18. tutafikatu

    Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

    Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
  19. Ntolonyonyo

    Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research

    Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na: 1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title" 2.Namna ya kuandaa "research proposal" 3.Njia zitakazokusaidia katika kutambua na kuandaa "objectives za research" 4.Njia mbalimbali zinazoweza...
Back
Top Bottom