Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!!
Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
https://www.youtube.com/live/xHd53cbsmoA?si=Rm1YGprC9EkHdvry
Zoezi la Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ndiye Mgeni Rasmi akimuwakilisha Spika Tulia Ackson...
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya.
Asanteni 🙏
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari, Afisa Uhusiano au call center
Napatikana Dar es salaam, Wilaya ya Ubungo.Asanteni.
Soma Pia: irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial...
"Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Ameandika Jesse Kwayu wa Media Brains
JUMATATU Februari 26, 2024 yaani mwanzo wa wiki hii taifa lilishuhudia jambo kubwa la kihistoria la kufanyika kwa jaribio ya safari za treni ya umeme kwenye reli ya standard gauge (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ni tukio la kihistoria kwa maana...
Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana kupitia "Video Conference". Na endapo utapata muda wa kututembelea basi utapata one-on-one Consultation.
Salam sana.
Rejea kichwa tajwa juu.
Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada tafadhari fanya kitu (mimi ni ke 28 years)
Be blessed.
Picha na mtandao
Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini.
Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema kuushirikisha umma japo kwa ufupi kuhusu safari yake hii anayoieleza kuwa ni “nzuri na tamu isiyochosha" ili...
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God...
Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi?
Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa.
wanachunguza mambo ya afya za...
Habari zenu wakuu,
Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT.
Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa
Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.
Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu.
Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.