Wakuu heshima yenu,
Kuna dogo ana ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na muaandaji wa vipindi vya TV na redio.
Anaomba kuelekezwa chuo kizuri cha taaluma hiyo kwa ngazi ya diploma kiwe cha serikali au cha binafsi ili aweze kutimiza ndoto yake.
Natanguliza shukrani
DSJ - JULY INTAKE
Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha.
SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO
1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya hizo iwe ya somo la Kiingereza.
2. “DIPLOMA:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita (VI) kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.