Bila kupoteza muda naomba niingie kwenye mada tajwa. Ninatamani sana kujifunza uandishi wa nyimbo, licha ya kujaribu ku "Google" ili kupata muongozo nimejikuta sisogei mahali popote.
Kwa kuthamini uwepo wa Jukwaa la maarifa-JF, nimeona nije humu kuomba msaada wenu. Kama una tips za Uandishi wa...