Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd.
Tangazo hilo limepokelewa kwa hisia tofauti na wanahabari wa ndani na mashirika ya habari, huku gazeti la...
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China...
Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani.
Fedha hizo kutoka Hazina ya Serikali zitakuwa chini ya Kamati ya Makabidhiano ya Ofisi (NASC) ambayo inajiandaa kwa...
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Iwapo mshindi atatangazwa leo, na asipate zuio la kupinga ushindi wake, Rais Mteule ataapishwa Agosti 30 ambayo ni siku 14 baada kutangazwa kwa Matokeo ya Urais
Kifungu cha 141 cha Katiba ya Kenya kuhusu Rais kuchukua Madaraka kinasema:
(1) Kuapishwa kwa Rais...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021.
Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.
Pia, Sophia Edward...
Niko hapa muda fulani naangalia TBC kwa kinachoendelea kwenye zoezi la kuapisha viongozi wapya Dodoma.
Kiukweli naona viongozi walioongea naona wengi wao hawana ule uchangamfu wa usoni. Kuna Kaunyonge fulani miongoni mwao I don't know what's wrong.
Copy aione Mshana Jr
Habari Ya Machweo Wakuu.
Kwenye sherehe nyingi za uapisho wa Rais kwa nchi za Kiafrika vyama pinzani toka nchi mbalimbali huwa ni nadra kualikwa.
Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema amevunja mwiko kwa kuvialika vyama pinzani toka nchi mbalimbali za Afrika kuhudhuria uapisho wake!
Nchi...
Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho linaangaza posho zenu?
Mishahara mlipwe posho mzikwapue kwa kazi gani kubwa kihivyo? Mkitumbuliwa...
Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami.
==========
Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
Binafsi leo nimepata fursa ya kufuatilia kwa njia ya television sherehe za uapisho wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda huko jijiji Kampala.
Kuna jambo binafsi limeniacha na maswali kadhaa nikijiuliza.
Wakati Rais Museveni anatoa utambulisho kwa wakuu wa nchi (Head of state) walioudhuria...
Wateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule.
Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita.
Rais wetu usiwe na haraka...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Updates :-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.