Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China...