KAGERA: Mahakama ya Wilaya Karagwe imewahukumu waliokuwa waajiriwa wa Chama cha Ushirika Caisalius Mathias Rugemalira (Kaimu Meneja), Renatus Gerald, (Kaimu Mhasibu) na Revelian M. Makune, (Mwenyekiti wa Bodi) kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,800,00 kwa Ubadhirifu wa Fedha za Chama...