Nimebahatika kupita barabara moja inatoka buhongwa Kuna daraja nimeuliza linaitwa MWASONGE, bridge.
Swali langu ni je Hilo daraja lilikabidhiwa kwa TARURA? Thamani ya pesa iliyotumika iko sahihi? Jamani kuweni na huruma na Kodi za wananchi, daraja mvua ikinyesha inayonyesha ya maana hakuna...
HOJA HII DHIDI YA SHAKA NI UPUUZI
Na Bollen Ngetti
RAIS SSH katika kukwamua uchumi uliodorora kufuatia janga la Covid-19 na matumizi ya hovyo ya Fedha za umma ametafuta na kupata 1.3 Trilioni kutoka IMF.
Fedha ambayo ameelekeza kutumika hapa hapa nchini kwenye miradi ya maendeleo na hivyo...
Wizara ya Sheria, Marekani (DOJ), imetangaza kuwa fedha ambazo zimepatikana kwa kupiga mnada mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue, zitatumika kununua chanjo na kuisaidia nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Obiang ni mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea Teodoro...
Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark
Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
Morogoro.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021...
Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
====
Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4
August 20, 2021
Mkurugenzi Mkuu wa...
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .
Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari.
Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8...
VIJANA WASOMI TOKA FAMILIA MASKINI HUPATA SANA KESI ZA UBADHIRIFU NA KUISHIA PABAYA... WAZAZI, SERIKALI NA JAMII NI YA KULAUMIWA.
Nawasalimu nyote kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... leo nimeamua kuandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno nafsini mwangu. Ni suala linalotuhusu vijana wa...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mathew Kundo ameagiza watumishi watatu wa Redio Sengerema ya wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza kuwekwa ndani kwa muda usiojulikana kutokana na ubadhirifu wa Sh28 milioni
Wafanyakazi hao ni ofisa habari Halmashauri ya Sengerema, Silvanus...
Kwa miaka mafanikio ya Teodoro "Teodorin" Nguema Obiang Mangue yaliwiana na mafanikio ya nchi yake Equatorial Guinea, kama ilivyopanda na kuboreka kama mzalishaji mkubwa wa mafuta katika Kusini mwa jangwa la Sahara
Mtoto wa Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo anafurahia maisha yake ya kifahari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.