ubadhirifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

    Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake. TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
  2. Kwanini shutuma zote za wizi na Ubadhirifu awamu ya sita hazijibiwi?

    Wakuu Salam, Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu. Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo. Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
  3. Sheria mpya ya Manunuzi ya vitu vya "mtumba" bila PPRA ni kupanua ubadhirifu

    8Video Clip ipo Chini"Mwigulu Kama Makamba na Nape! Wanasaka za Uchaguzi (ndoto za Urais)" Jana, 08/09/2023 huko Dodoma Serikali kupitia Bunge lake ilipitisha sheria mpya ya manunuzi ya serikali. Ambapo sasa ni ruksa kwa serikali au taasisi yoyote ile ya Umma nchini inaweza kununua vifaa au...
  4. Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  5. M

    DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
  6. Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
  7. Serikali imepoteza Tsh. bilioni 1,494.75 kutokana na rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu

    Kupoteza mamilioni ya shilingi katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato ni janga la kitaifa. Inaonekana kuwa Serikali yetu imepoteza shilingi bilioni 1,494.75 kutokana na vitendo vya rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu. Hii ni idadi kubwa sana ya pesa ambayo ingeweza kutumiwa kuboresha huduma za...
  8. Ubadhirifu na Rushwa bado ni mkubwa

    Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
  9. T

    SoC03 Mawasiliano ya viongozi yawekwe wazi kurahisisha utoaji wa taarifa, uovu kutoka kwa wananchi

    Mawasiliano njia ya kupashana habari, kufikishiana jumbe na taarifa kati mtu na mtu au mtu na shirika, mwananchi na kiongozi/viongozi, mashirika kwa mashirika au viongozi kwa viongozi. Kukuwa kwa teknolojia kumerahisisha mawasiliano kufanyika kwa haraka hasa pale njia ya ana kwa ana inapokuwa...
  10. Ubadhirifu unaofanywa mbele ya picha ya Rais ni sawa na kumtukana na kumng'ong'a Rais ukimuangalia usoni

    Kila niamkapo sikosi jambo la kuandika hapa jf, unawesa patwa na hisia labda kila nikilala huwa niota au la? Najiuliza hivi wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika ofisi za umma uwa wanaiangalia picha au kuitizama picha ya Mh. Rais wetu kweli? Kama wanaitazama hawajui kama anawaona ?hivi...
  11. Mkurugenzi Mtendaji wa Makete ashtakiwa kwa ubadhirifu wa Tsh. Milioni 17.4 za Uchaguzi Mkuu 2015

    Watuhumiwa katika kesi hiyo ni William M. Makufwe ambaye kwasasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Chrostopher M. Nyaki aliyekuwa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Rungwe, Mbeya. Katika hati ya Mashtaka, watuhumiwa hao pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa...
  12. Dkt. Mpango aagiza Manispaa ya Tabora kumshughulikia mtumishi aliyefanya ubadhilifu hospitali

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Tabora kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kuhakikisha wanamfikisha katika vyombo vya sheria aliyefanya ubadhirifu, wakati wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tabora...
  13. Songwe: Mkusanya mapato ashtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma. Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...
  14. Manyara: Mtendaji wa Kijiji ahukumiwa Miaka 41 jela kwa Ubadhirifu, Matumizi mabaya ya Madaraka na Wizi wa Mali ya Umma

    Aprili 25, 2023, Mahakama ya Wilaya ya MBULU imemtia hatiani Mshtakiwa Bw. SAMWEL QAMBINA DUKHO, katika Shauri la Uhujumu Uchumi Na.06/2022. Shauri hili lilikuwa mbele ya Mh. Victus KAPUGI na liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka MARTINI MAKANI Katika shauri hilo mshtakiwa alikua anashtakiwa kwa...
  15. Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

    Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi. Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka. Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende...
  16. Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  17. Kamati za Siasa za CCM Mkoa na wilaya nchi nzima, kama njia ya kupinga ubadhirifu, washughulikie taasisi na watumishi waliotajwa na CAG

    CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao. Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
  18. Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  19. Wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi na matakwa ya nchi yetu. Watanzania msiumize vichwa vyenu

    Wakuu, Kila mwaka CAG anatoa ripoti zake na kuonyesha mambo yale yale na kilio kile kile. Naomba mtambue kwamba wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi ya nchi yetu hayo yawepo na kushamiri na vyombo vyote vya usalama vina bariki hayo kutokea ndiyo maana hayaishi! Dola na baraza la usalama wa...
  20. Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…