ubaguzi wa rangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pesakilakitu

    Mo Salah hapewi mkataba mpya sababu ya ubaguzi, hakuna kingine

    Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91] Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU.. muingereza...
  2. D

    Umewahi kukutana na ubaguzi wa aina gani ulipokuwa nje ya nchi?

    Habarini, Mliowahi kutoka nje ya nchi hii basi mkuje kutuhabarisha kuhusu hili. Nini mmeona? Nini mmefanyiwa ili tunaohangaika kutoka tujue mapema. Kuna mmoja alisema yeye aliwahi kuvutwa pua kwa nguvu sana baada ya kutolewa jambo flani. Karibuni. Pia soma: Wamarekani wenye asili ya Afrika...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

    Wakuu kheri nyingi kwenu nyote. Tuanzie hapa. Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman. Hawa wazungu walikuwa wametoka Mataifa tofauti tofauti kama Canda,australia na ufilipino na hata indonesia nk. Baada ya kuja basi...
  4. S

    Jinsi ubaguzi wa rangi na vita baridi vilivyochelewesha uhuru wa afrika kusini

    Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka 1994 kutoka kwa utawala wa ubaguzi wa rangi, je ni kwanini? Miongoni mwa sababu zilizochangia ni ubaguzi wa rangi katika mataifa ya Ulaya na Marekani pamoja na vita baridi. 1. UBAGUZI WA RANGI Wapigania uhuru wa Afrika Kusini walipuuzwa walipojaribu kuomba...
  5. G

    Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  6. fasiliteta

    Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza. Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao...
  7. M24 Headquarters-Kigali

    Raia Afrika Kusini Wana Haki kuchukia wageni

    Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru. Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria, Cameroon, Tanzania, Congo na Ethiopia kwenda kugongea fursa hizo hizo Ikiwemo - saloon, maduka (madogo...
  8. oko majimaji

    Thibaut Courtois alitupiwa mfuko wenye Kinyesi

    Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi

    Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi Roy Ibonga's personal archive Kuna takriban maelfu ya watu weusi wanaoishi nchini Urusi- wakiwemo waliozaliwa nchini Urusi na baadhi wakiwa na mchanganyiko wa vizazi (machotara) ,Waafrika na wengine kutoka mataifa ya...
  10. Yoyo Zhou

    Wamarekani wenye asili ya Kiafrika bado wanakabiliwa na ubaguzi wa rangi

    Umoja wa Mataifa wiki iliyopita umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi, na kaulimbiu ya mwaka huu ni “Muongo wa Utekelezaji wa Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Asili ya Kiafrika”. Wakati jamii ya kimataifa inajitahidi kuondoa ubaguzi wa rangi, Marekani, ambayo inajiita...
  11. M

    Nafikiria kuifungulia mashtaka Serikali ya African Kusini kwa mauaji na ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa wageni

    Habari wanajamvi. Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/...
  12. JanguKamaJangu

    Vinicius Jr. aipongeza Sevilla kwa kumfukuza shabiki aliyeonesha ubaguzi wa rangi

    Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi. Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa...
  13. R

    SoC03 Ni vyema mafundisho kama ya binadamu wa kwanza alitokana na nyani yaondolewe kwenye mitaala yetu ya elimu kwasababu yanachochea ubaguzi wa rangi

    NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI UTANGULIZI Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
  14. JanguKamaJangu

    Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

    Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'. Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
  15. L

    Wamarekani wenye asili ya Afrika bado wakabiliwa na ubaguzi wa rangi

    Hivi karibuni kijana mmoja Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliuawa na kijana mzungu kwenye treni ya chini ya ardhi mjini New York, Marekani, lakini mhusika wa mauaji hayo aliachiliwa huru baada ya kuhojiwa na polisi kwa muda mfupi tu. Ikiwa ni miaka mitatu tangu George Floyd auawe kwa kukosa...
  16. Mcqueenen

    Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

    Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati. Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
  17. kwisha

    Kwanini watu weusi hatupendani kabisa?

    Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe. Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
  18. mirindimo

    Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

    Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe...
  19. BARD AI

    Kutoka kutekwa, talaka, ubaguzi wa rangi: Migogoro ya Malkia Elizabeth

    Kutoka kutekwa nyara hadi talaka na shutuma za ubaguzi wa rangi, familia ya kifalme imekuwa mgeni kwa kashfa kwa miongo kadhaa. Malkia Elizabeth II anasifiwa kwa kiasi kikubwa kustahimili dhoruba mbalimbali, picha ya utulivu huku kukiwa na drama za familia ambazo zilitengeneza lishe yenye juisi...
  20. L

    Ubaguzi wa rangi waunda sera ya kigeni ya Marekani kuhusu Afrika

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
Back
Top Bottom