Ubaguzi wa rangi ulikuwepo muda mrefu sana kabla ya Darwin na theory yake au kuja kuipa nguvu maana inasemekana yeye sio mwanzilishi, lakin pindi tu ilivyo kuja huyu bwana na habari zake ubaguzi wa rangi uliongezeka kwa kiwango kikubwa.
Katika kitabu chake cha 1871 The Descent of Man Darwin...
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
George Floyd
Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo.
Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi.
Binafsi...
Waziri Mkuu wa Uingereza, amesema raia wana haki ya kuandamana lakini wanaoleta fujo wanapaswa kuchukuliwa hatua. Amesema wameacha lengo la msingi la maandamano hayo na kufanya fujo
Waandamanaji mjini London wamewafanya polisi kukimbia baada ya kuwashambulia kwa chupa. Polis 8 wamejeruhiwa na...
Habari!
Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa.
Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu.
Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL cha *CloudsFm. Nikimnukuu Madee "Siamini kwenye ubaguzi wa rangi, hata yule jamaa aliyekatishwa...
Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.