Bahi. Kata ya Zanka wilayani Bahi, imegubikwa na matukio ya mauaji na ubakaji, huku wananchi wakilalamika hatua stahiki kutochukuliwa na mamlaka husika.
Zanka ni kata ya siku nyingi inayoundwa na vijiji vya Zanka, Mayamaya na Mkondai, ikiwa na vitongoji sita vya Zamahero, Halo, Lulunde...