ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Bibi wa miaka 67 asimulia alivyosifiwa kuwa na mapaja mazuri kisha kubakwa

    Kijana mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa kijiji cha Mwika wilaya ya Moshi, Stanley Urio aliyemsifia bibi wa miaka 67 kuwa ana mapaja mazuri kabla ya kumpiga mtama na kumbaka, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 30, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu...
  2. Sildenafil Citrate

    Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  3. Roving Journalist

    Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

    Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17. Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto...
  4. Sildenafil Citrate

    Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  5. Suley2019

    Njombe: Aliyebaka mtoto wake kisa utajiri ahukumiwa jela miaka 30

    Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imemuhukumu miaka 30 jela Mwanaume aitwae Joseph Mwajombe (33) Mkazi wa kijiji cha Lulanzi, kwa kosa la kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka 15. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo James Mhoni amesema Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Agosti 7...
  6. nyambaterito

    Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

    Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi. 1. Nani...
  7. BARD AI

    Beki wa Man City akana mashtaka 7 ya ubakaji na udhalishaji kingono

    Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka. Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
  8. M

    Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  9. JanguKamaJangu

    Askofu Shoo akaliwa kooni, pia 'Mungu wa Zagamba' asakwa kwa ubakaji

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 3, 2022
  10. Lady Whistledown

    Watuhumiwa wa Ubakaji na Ulawiti mbioni kukosa dhamana

    Makosa ya ubakaji na ulawiti yapo mbioni kuondolewa dhamana kutokana na Serikali kuanza mchakato wa kufanyia marekebisho Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Hatua hiyo imetokana na utafiti mdogo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuonesha kuwa baadhi ya watuhumiwa wa makosa hayo wakiwa...
  11. Lady Whistledown

    Benjamin Mendy akabiliwa na tuhuma mpya za ubakaji

    Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy (27) sasa anashtakiwa kwa makosa nane ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na moja la kujaribu kubaka baada ya mwathiriwa mpya kujitokeza Mnamo mwezi uliopita Mendy alikana mashtaka yote isipokuwa shtaka la hivi la hivi karibuni la...
  12. JanguKamaJangu

    Kuongezeka kwa matukio ya UBAKAJI Nchini, tatizo ni nini? Tujadiliane tuokoe taifa letu

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe. Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
  13. JanguKamaJangu

    Serikali: Ripoti ya kesi za ukatili kwa watoto, Ubakaji 5,899, mimba 1,677, ulawiti 1,114

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene amesema kesi za ukatili dhidi ya watoto zilizoripotiwa mwaka 2021 jumla ni 11,499. Waziri Simbachawene amesema takwimu za Jeshi la Polisi zinaonesha kuwa kuanzia Januari hadi Desemba, 2021 kulikuwa na idadi hiyo...
  14. Cannabis

    Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

    Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni...
  15. BigTall

    Kesi 42 udhalilishaji kwa Wanafunzi zaripotiwa Pemba, kuna ubakaji, ulawiti na mimba

    Jumla ya kesi 42 za vitendo vya udhalilishaji zimeripotiwa katika Ofisi ya Naibu Mrajisi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Kisiwani Pemba kwa mwaka 2021. Naibu Mrajisi, Hidaya Omar Khamis amesema bado tatizo la udhalilishaji kwa wanafunzi lipo na ni changamoto kubwa. Mrajisi huyo alieleza...
  16. J

    Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

    Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata...
  17. M

    Hivi hawa wanawake wanaowasingizia kesi za ubakaji waume zao wanapata adhabu gani?

    Habarini, mifano ni mingi tu. Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa wasio na hatia. Hivi je, ikigundulika mume aliyefanyiwa vigisu za ubakaji na mkewe na akafungwa...
  18. LIKUD

    Wanaume marijali wote wapo jela kwa kesi za ubakaji

    Hili ni tusi la kiutu uzima. Ingawa dada huyu alikuwa anaongea kama utani lakini she was making alot of sense. Ni hivi tulikuwa kwenye kikao cha harusi bar. Akapita jamaa AKASEMA anauza Dawa ya nguvu za kiume... Licha ya kujibiwa kwamba we are not interested but akawa anaendelea kujinadi...
  19. peno hasegawa

    Shinyanga: Aliyetuhumiwa kumbaka na kumpa mimba mwanaye wa kambo atoroka baada ya kupewa dhamana

    Kanda ya ziwa, kumeibuka ubakaji wa watoto wa kike. Hali hii imekidhiri na ina usiri mkubwa na serikali ngazi mkoa, wilaya na kata zimepiga kimya. Rais sikiliza habari hii hapo ni shinyanga mjini, huko vijijini Hali Sio shwari
  20. Superbug

    Ban'gala, jambazi la Kigurunyembe lililofungwa jela kwa ubakaji miaka ya 90

    Hili jamaa likiishi kigurunyembe mizambarauni miaka mwanzoni ya 90 likiwa lihalifu haswa Ila lilifungwa mvua15 baada ya kubaka. Sijui litakuwa wapi Sasa. Anaejua atujuze.
Back
Top Bottom