Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe
Kwa muda mrefu nchi yetu Tanzania, imekuwa ikibagazwa na media za nje, haswa za kibeberu kwa kuripoti na kutoa taarifa za uongo, uzushi na wakati mwingine hata kututukana Tanzania kama nchi, kuwatukana viongozi wetu na kumdhalilisha mkuu...