Hello wakuu,
Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor
Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule!
Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani...
Ubalozi wa Marekani Nchini Cuba umeanza kutoa visa wiki hii kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka minne tangu madai ya mashambulizi ya mfumo wa sauti (Sonic Attacks) dhidi ya wafanyakazi wa kidiplomasia.
Marekani ilifunga huduma za kibalozi Cuba mwaka 2017 baada ya wafanyakazi wa Marekani na...
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
airport
dada
diaspora
jnia
kaskazini
katiba
katiba mpya
kudai
kusoma
mabango
marekani
miwani
mpya
mtu
mwigulu
mwigulu nchemba
nchini
picha
tanzania
ubalozi
usa
waandamana
wabongo
watanzania
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke.
Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba.
Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
Salaam Wakuu,
Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote.
Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka.
Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si...
Habari zenu wakuu.
Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu.
Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa.
Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote alilofanikiwa kwenye Wizara hiyo na baada ya kumuunga mkono Lowasa chama kikamkataa.
Akazunguka kidogo Kwa...
Naona mheshimiwa Rais leo amemuapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Brazil.
Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Nchimbi.
Amestaafu au nin kimetokea?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania...
Kwa kweli nimetiwa moyo na weledi, haraka, na utendaji ulioweza kufuatiĺia Hati ya kusafiria ya mdogo wangu Mange aka Damdogo. Licha ya kuchelewa kurenew lakini mambo ya ndani wameweza kushughulikia Hati yake kwa haraka.
Na mimi nilishakamilisha kila kitu ili kupatiwa Hati yangu ya kusafiria...
Tunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi. Cha kushangaza vilevile pamoja na viongozi wa...
*Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania .
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania.
Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania
Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
Receptionist A1 (04/21 DAR) - Maternity Cover
The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam Media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv
Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa zao atumie platform hiyo kutukana bidhaa za MO maana ndiyo style yake utasikia nipo na boss wa Asas...
Serikali ya Ethiopia imefunga Ubalozi wake uliopo Algiers Nchini Algeria, ikiwa ni hatua ya kupunguza gharama za majukumu yake ya Sera za Kigeni
Ubalozi wa Ethiopia Nchini humo umesema uamuzi uliochukuliwa unaweza kubadilika siku za usoni ikiwa hali ya Uchumi ambayo pia imeathiriwa na janga la...
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.
Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.