Kwa kweli nimetiwa moyo na weledi, haraka, na utendaji ulioweza kufuatiĺia Hati ya kusafiria ya mdogo wangu Mange aka Damdogo. Licha ya kuchelewa kurenew lakini mambo ya ndani wameweza kushughulikia Hati yake kwa haraka.
Na mimi nilishakamilisha kila kitu ili kupatiwa Hati yangu ya kusafiria...