Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.
Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni
Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili.
Updates za vikosi vya timu...
Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮
2025 nimeamua ukiomba namba nami naomba pesa, Shwaa
#Jocking😂😂
Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi.Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja yote imekamilika.
Kila kitu kipo mikononi mwetu sisi tu kuamua tufunge kwa style ipi,tuamue kugaragara kwenye 18 au 17 ni sisi tu.
Mtanielewa Dec,28 dadekii
Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu.
Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti na kuanza kufanya vurugu hakikubaliwi na mtu yoyote na kwa namna yoyote ile.
Binafsi nawapongeza...
I mean existential crisis
Angalia ndugu yake na kurwa sasa hivi kwa mtaani anatamba na ubaya ubwela
Vijana mtandaoni wanahangaika na uwepo wa mungu, they feel his death
Viongozi wa serikali na dini wanacharuana hadharani! Iko wapi heshima?!
Kuongezeka kwa wimbi la hawa raia wasiokula nyama...
Tumeona jana, baada ya mechi kuisha wale waarabu wametufanyia vurugu sana hata kutuumizia kipa wetu Aishi Manura kwa kumpiga na chupa na kumpasua kichwani. Kuna video zipo kwenye page ya salehe Jembe aliyekuwepo kule Libya zikiomedha namna gani waarabu walitufanyia vurugu na kupelekea majeruhi...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amesema katika kuhakikisha mshindi halali ndiye anayetangazwa kauli mbiu yao kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu itakuwa " Ubaya Ubwela"
Shaibu amesema hawatakubali yaliyotokea 2020 yajirudie
Mlale Unono 😀
St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu
Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae...
Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea jina la Kura.
Jaji alisema usemi huo unaomaanisha ‘ubaya umerudi tena’, kwa mtazamo wa kwanza, mtu...
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾♂️.
Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili...
Wanasimba hongereni kwa Tamasha zuri mmeujaza uwanja wa Mkapa yani ni full House najua Mnafuraha sanaa Kwa kuiona Timu yenu ikipata matokeo kwenye siku ya “simba dei”.
Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wapi?
Soma pia: FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025
Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.
Kaa nami katika uzi huu upate update ya...
Tuwe tunatafuta maneno na majina yatakayotuletea Baraka na sio mikosi.
Nawamba Viongozi wetu wa Simba mnapotafuta Maneno basi tafuteni yale yatakayoleta Baraka.
ACHENI KUDANGANYWA NA WAZARAMO. AU MLIMUOMBA YULE MZEE WA YANGA(MAGOTI) AWAPE MSEMO.
Angalieni wenzetu wa DAIMA MBELE na hakika...
Inanikera sana. Na kuna wanayanga wengi wameingiwa na huu ujinga nao wanaitumia hii kauli mbiu. Jana nimetoka kulumbana na mtu kuwa aache ujinga. Kauli mbiu yetu inafahamika but why anatumia ya Simba. Yule kanijibu tena UBAYA UBWELA. Nikaona hamna mtu pale.
Haya mambo sijaelewa akina Priva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.